Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Zaburi 98:6-7 in Swahili (individual language)

Help us?

Zaburi 98:6-7 in Biblia ya Kiswahili

6 Kwa panda na sauti ya baragumu, fanyeni kelele za shangwe mbele ya Mfalme, Yahwe.
7 Bahari na ipige kelele na vyote vilivyomo, ulimwengu na wale wakaao ndani yake!
Zaburi 98 in Biblia ya Kiswahili