Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Zaburi 92:5-7 in Swahili (individual language)

Help us?

Zaburi 92:5-7 in Biblia ya Kiswahili

5 Ni jinsi gani matendo yako ni makuu, Yahwe! mawazo yako ni ya kina.
6 Mtu mpumbavu hawezi kuyajua, wala mjinga kuyaelewa haya:
7 Wasio haki watakapochipuka kama nyasi, na hata watendao uovu watakapo stawi, bado wataangamizwa kwenye uharibifu wa milele.
Zaburi 92 in Biblia ya Kiswahili