Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Zaburi 92:3-5 in Swahili (individual language)

Help us?

Zaburi 92:3-5 in Biblia ya Kiswahili

3 kwa kinubi cha nyuzi kumi na kwa tuni ya kinubi.
4 Kwa kuwa wewe, Yahwe, matendo yako yamenifurahisha. Nitaimba kwa furaha kwa sababu ya matendo ya mikono yako.
5 Ni jinsi gani matendo yako ni makuu, Yahwe! mawazo yako ni ya kina.
Zaburi 92 in Biblia ya Kiswahili