Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Zaburi 92:11-13 in Swahili (individual language)

Help us?

Zaburi 92:11-13 in Biblia ya Kiswahili

11 Macho yangu yameona kuanguka kwa adui zangu; masikio yangu yamesikia maangamizi ya maadui zangu waovu.
12 Wenye haki watastawi kama mtende; watakua kama mwerezi wa Lebanoni.
13 Wamepandwa katika nyumba ya Yahwe; wakistawi katika nyua za Mungu wetu.
Zaburi 92 in Biblia ya Kiswahili