Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Zaburi 90:10-11 in Swahili (individual language)

Help us?

Zaburi 90:10-11 in Biblia ya Kiswahili

10 Miaka yetu ni sabini, au themanini tukiwa na afya; lakini hata hivyo miaka yetu mizuri imetiwa alama ya taabu na huzuni. Ndiyo, inapita haraka, kisha tunatoweka.
11 Ni nani ajuaye kiwango cha hasira yako, na ghadhabu yako ambayo iko sawa na hofu yako?
Zaburi 90 in Biblia ya Kiswahili