Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Zaburi 89:38-41 in Swahili (individual language)

Help us?

Zaburi 89:38-41 in Biblia ya Kiswahili

38 Lakini wewe umemtupa na kumkataa; umemkasirikia mfalme mpakwa mafuta wako.
39 Wewe umelikataa agano la mtumishi wako. Umeinajisi taji yake ardhini.
40 Umevunja kuta zake zote. Umeharibu ngome yake.
41 Wapita njia wote wamemuibia, amekuwa kitu chenye kinyaa kwa majirani zake.
Zaburi 89 in Biblia ya Kiswahili