Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Zaburi 89:28-29 in Swahili (individual language)

Help us?

Zaburi 89:28-29 in Biblia ya Kiswahili

28 Nitaongeza uaminifu wa agano langu kwake milele; na agano langu pamoja naye litakuwa salama.
29 Nitaufanya uzao wake kudumu milele na kiti chake cha enzi kitadumu kama mbingu zilizo juu.
Zaburi 89 in Biblia ya Kiswahili