Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Zaburi 86:14-15 in Swahili (individual language)

Help us?

Zaburi 86:14-15 in Biblia ya Kiswahili

14 Ee Mungu, wenye kiburi wameinuka dhidi yangu. Kundi la watu wenye vurugu wanautafuta uhai wangu. Nao hawakuheshimu wewe.
15 Lakini wewe, Bwana, ni mwenye huruma na neema, hukasiliki haraka, na mwingi katika uaminifu wa agano lako na kweli.
Zaburi 86 in Biblia ya Kiswahili