Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Zaburi 7:9-10 in Swahili (individual language)

Help us?

Zaburi 7:9-10 in Biblia ya Kiswahili

9 Matendo ya waovu na yafike mwisho, bali uanzishe watu wenye haki, Mungu mwenye haki, wewe ambaye unapima mioyo na fahamu.
10 Ngao yangu inatoka kwa Mungu, yule anaye okoa moyo wa mwenye haki.
Zaburi 7 in Biblia ya Kiswahili