Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Zaburi 78:70-71 in Swahili (individual language)

Help us?

Zaburi 78:70-71 in Biblia ya Kiswahili

70 Alimchagua Daudi, mtumishi wake, alimchukua kutoka zizi la kondoo.
71 Alimtoa kutoka katika kufuata kondoo pamoja na wana wao, na kumweka kuwa mchungaji wa Yakobo, watu wake, na Israeli, urithi wake.
Zaburi 78 in Biblia ya Kiswahili