Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Zaburi 78:42-43 in Swahili (individual language)

Help us?

Zaburi 78:42-43 in Biblia ya Kiswahili

42 Hawakufikiria kuhusu uweza wake, jinsi alivyo waokoa dhidi ya adui
43 alipofanya ishara za kutisha katika Misri na maajabu yake katika konde la Soani.
Zaburi 78 in Biblia ya Kiswahili