Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Zaburi 78:21-23 in Swahili (individual language)

Help us?

Zaburi 78:21-23 in Biblia ya Kiswahili

21 Yahwe aliposikia haya, alikasirika; moto wake uliwaka dhidi ya Yakobo, hasira yake ikamshambulia Israeli,
22 kwa sababu hawakumwamini Mungu na hawakuamini katika wokovu wake.
23 Lakini yeye bado aliziamuru mbingu juu na kufungua milango ya mbingu.
Zaburi 78 in Biblia ya Kiswahili