Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Zaburi 78:13-14 in Swahili (individual language)

Help us?

Zaburi 78:13-14 in Biblia ya Kiswahili

13 Aliigawa bahari na akawaongoza katikati ya bahari; aliyafanya maji yasimame kama kuta.
14 Wakati wa mchana aliwaongoza kwa wingu na usiku wote kwa nuru ya moto.
Zaburi 78 in Biblia ya Kiswahili