Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Zaburi 77:8-10 in Swahili (individual language)

Help us?

Zaburi 77:8-10 in Biblia ya Kiswahili

8 Je, uaminifu wa agano lake ulikuwa umetoweka milele? Je, ahadi yake imeshindwa milele?
9 Je, Mungu amesahau kuwa mwenye neema? Je, hasira yake imeifunga huruma yake? Selah
10 Nilisema, “Hii ni huzuni yangu: mabadiliko ya mkono wa kuume wa Aliye Juu dhidi yetu.”
Zaburi 77 in Biblia ya Kiswahili