Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Zaburi 77:18-20 in Swahili (individual language)

Help us?

Zaburi 77:18-20 in Biblia ya Kiswahili

18 Sauti yako kama ya radi ilisikika katika upepo; radi iliwasha dunia; nchi iliogopa na kutetemeka.
19 Njia yako ilipita baharini na mapito yako katika maji mengi, lakini alama za miguu yako hazikuonekana.
20 Uliwaongoza watu wako kama kundi kwa mkono wa Musa na Haruni.
Zaburi 77 in Biblia ya Kiswahili