Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Zaburi 77:1-2 in Swahili (individual language)

Help us?

Zaburi 77:1-2 in Biblia ya Kiswahili

1 Nitampazia Mungu sauti yangu, nitamuita Mungu kwa sauti yangu, na Mungu wangu atanisikia.
2 Katika siku ya taabu nilimtafuta Bwana; usiku niliinua mikono yangu, nayo haikuchoka. Moyo wangu ulikataa kufarijiwa.
Zaburi 77 in Biblia ya Kiswahili