Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Zaburi 76:4-5 in Swahili (individual language)

Help us?

Zaburi 76:4-5 in Biblia ya Kiswahili

4 Wewe unang'aa sana na huufunua utukufu wako, ushukapo kutoka milimani, ambako uliwauwa mateka.
5 Wenye moyo shujaa walitekwa nyara; walilala mauti. Mashujaa wote walikuwa wanyonge.
Zaburi 76 in Biblia ya Kiswahili