Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Zaburi 76:3-4 in Swahili (individual language)

Help us?

Zaburi 76:3-4 in Biblia ya Kiswahili

3 Huko ndiko alivunja mishale ya upinde, ngao, upanga, na silaha zingine za vita. Selah
4 Wewe unang'aa sana na huufunua utukufu wako, ushukapo kutoka milimani, ambako uliwauwa mateka.
Zaburi 76 in Biblia ya Kiswahili