Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Zaburi 76:10-11 in Swahili (individual language)

Help us?

Zaburi 76:10-11 in Biblia ya Kiswahili

10 Hakika hukumu ya hasira yako dhidi ya binadamu itakuletea wewe sifa; wewe hujifunga mwenyewe hasira yako iliyo baki.
11 Wekeni nadhiri kwa Yahwe Mungu wenu na kuzihifadhi. Nao wote wamzungukao yeye mleteeni zawadi yeye ambaye ni wa kuogopwa.
Zaburi 76 in Biblia ya Kiswahili