Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Zaburi 72:18-19 in Swahili (individual language)

Help us?

Zaburi 72:18-19 in Biblia ya Kiswahili

18 Yahwe Mungu, Mungu wa Israel, atukuzwe, ambaye pekee hufanya mambo ya ajabu.
19 Jina lake tukufu litukuzawe milele, nayo nchi yote ijazwe na utukufu wake. Amina, Amina.
Zaburi 72 in Biblia ya Kiswahili