Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Zaburi 69:16-17 in Swahili (individual language)

Help us?

Zaburi 69:16-17 in Biblia ya Kiswahili

16 Unijibu, Yahwe, maana uaminifu wa agano lako ni mwema; kwa maana rehema zako kwangu ni nyingi, unigeukie.
17 Usiufiche uso wako mbali na mtumishi wako, maana niko katika dhiki; unijibu haraka.
Zaburi 69 in Biblia ya Kiswahili