Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Zaburi 66:7-12 in Swahili (individual language)

Help us?

Zaburi 66:7-12 in Biblia ya Kiswahili

7 Yeye anatawala milele kwa nguvu zake; macho yake yanachunguza mataifa; waasi wasijivune. Selah
8 Mtukuzeni Mungu, enyi watu wa mataifa yote, sauti ya sifa zake isikike.
9 Yeye atuwekaye hai, naye hairuhusu miguu yetu iteleze.
10 Kwa maana wewe, Mungu, umetupima sisi, wewe umetupima kama inavyopimwa fedha.
11 Wewe ulituingiza sisi kwenye wavu; uliweka mzigo mzito viunoni mwetu.
12 Wewe uliwafanya watu wasafiri juu ya vichwa vyetu; tulipita motoni na majini, lakini ukatuleta mahali pa wazi palipo salama.
Zaburi 66 in Biblia ya Kiswahili