Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Zaburi 62:4-5 in Swahili (individual language)

Help us?

Zaburi 62:4-5 in Biblia ya Kiswahili

4 Wanashauliana naye ili tu kumshusha chini kutoka kwenye nafasi yake heshimiwa; wao wanapenda kuongea uongo; wanambariki yeye kwa midomo yao, lakini mioyoni mwao wana mlaani yeye. Selah
5 Katika ukimya ninamsubiri Mungu pekee; kwa maana matumaini yangu yako kwake.
Zaburi 62 in Biblia ya Kiswahili