Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Zaburi 44:15-17 in Swahili (individual language)

Help us?

Zaburi 44:15-17 in Biblia ya Kiswahili

15 Siku zote fedheha yangu iko mbele yangu, na aibu ya uso wangu imenifunika
16 kwa sababu ya sauti yake iliyo kemea na kutukana, kwa sababu ya adui na kisasi.
17 Yote haya yametupata sisi; bado hatukukusahau wewe wala kulikosea agano lako.
Zaburi 44 in Biblia ya Kiswahili