Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Zaburi 41:5-6 in Swahili (individual language)

Help us?

Zaburi 41:5-6 in Biblia ya Kiswahili

5 Adui zangu huongea maovu dhidi yangu, wakisema, 'Atakufa lini na jina lake lipotee?'
6 Adui yangu ajapo kuniona, huongea mambo yasiyo na maana; moyo wake hukusanya maafa yangu kwa ajili yake mwenyewe; na aondokapo kwangu, yeye huwaambia watu wengine kuhusu hayo.
Zaburi 41 in Biblia ya Kiswahili