Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Zaburi 39:4-5 in Swahili (individual language)

Help us?

Zaburi 39:4-5 in Biblia ya Kiswahili

4 Yahwe, unijulishe ni lini utakuwa mwisho wa maisha yangu na kiwango cha siku zangu. Unioneshe jinsi maisha yangu yalivyo mafupi.
5 Tazama, wewe umezifanya siku zangu kama upana wa kiganja changu tu, sikuzangu za kuishi ni kama si kitu mbele zako. Hakika kila mtu ana pumzi moja. Selah
Zaburi 39 in Biblia ya Kiswahili