Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Zaburi 38:19-20 in Swahili (individual language)

Help us?

Zaburi 38:19-20 in Biblia ya Kiswahili

19 Lakini maadui zangu ni wengi; wale wanichukiao ni wengi.
20 Wao wananilipa mabaya kwa mema; wanavurumiza shutuma kwangu ingawa nimefuata lililo jema.
Zaburi 38 in Biblia ya Kiswahili