Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Zaburi 37:12-13 in Swahili (individual language)

Help us?

Zaburi 37:12-13 in Biblia ya Kiswahili

12 Mtu mwovu hupanga njama kinyume na mwenye haki na kumsagia meno.
13 Bwana humcheka, kwa maana anaona siku yake inakuja.
Zaburi 37 in Biblia ya Kiswahili