Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Zaburi 36:7-8 in Swahili (individual language)

Help us?

Zaburi 36:7-8 in Biblia ya Kiswahili

7 Ni jinsi gani uaminifu wa aganao lako ni wa thamani, Mungu! Watu hukimbilia usalama chini ya uvuli wa mbawa zako.
8 Nao watatoshelezwa tele na utajiri wa chakula nyumbani mwako; utawafanya wanywe kutoka katika mto wa baraka zako za thamani.
Zaburi 36 in Biblia ya Kiswahili