Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Zaburi 35:26-27 in Swahili (individual language)

Help us?

Zaburi 35:26-27 in Biblia ya Kiswahili

26 Uwaaibishe na kuwa fendhehesha wale wanaotaka kunidhuru. Wale wote wanao ni dhihaki wafunikwe kwa aibu na kudharauliwa.
27 Nao wote wanao tamani kudhihirishwa kwangu washangilie na wafurahi; siku zote waseme, “Usifiwe Yahwe, yeye ajifurahishaye katika mafanikio ya mtumishi wake.
Zaburi 35 in Biblia ya Kiswahili