Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Zaburi 35:14-15 in Swahili (individual language)

Help us?

Zaburi 35:14-15 in Biblia ya Kiswahili

14 Nilienenda katika huzuni kana kwamba walikuwa ni ndugu zangu; niliinama chini nikiomboleza kana kwamba ni kwa ajili ya mama yangu.
15 Bali mimi nilipokuwa mashakani, walifurahi sana na kukutanika pamoja; walikutanika pamoja kinyume na mimi, nami nilishangazwa nao. Walinirarua bila kuacha.
Zaburi 35 in Biblia ya Kiswahili