Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Zaburi 34:19-20 in Swahili (individual language)

Help us?

Zaburi 34:19-20 in Biblia ya Kiswahili

19 Mateso ya wenye haki ni mengi, bali Yahwe huwaokoa nayo yote.
20 Yeye huitunza mifupa yake yote, hakuna hata mmoja wao utavunjika.
Zaburi 34 in Biblia ya Kiswahili