Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Zaburi 33:17-18 in Swahili (individual language)

Help us?

Zaburi 33:17-18 in Biblia ya Kiswahili

17 Farasi sio salama kwa ajili ya ushindi; ijapokuwa nguvu zake ni nyingi, hawezi kuokoa.
18 Tazama, macho ya Yahwe yako kwa wale wanao mhofu yeye, wale wanao litumainia agano lake takatifu
Zaburi 33 in Biblia ya Kiswahili