Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Zaburi 31:16-17 in Swahili (individual language)

Help us?

Zaburi 31:16-17 in Biblia ya Kiswahili

16 Nuru ya uso wako imuangazie mtumishi wako; uniokoe katika uaminifu wa agano lako.
17 Usiniache niaibishwe, Yahwe; kwa maana ninakuita wewe! Waovu waaibishwe! Na wanyamaze kimya kuzimuni.
Zaburi 31 in Biblia ya Kiswahili