Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Zaburi 2:8-9 in Swahili (individual language)

Help us?

Zaburi 2:8-9 in Biblia ya Kiswahili

8 Uniombe, nami nitakupa wewe taifa kwa ajili ya urithi na mikoa ya nchi iliyo bora kwa ajili ya umiliki wako.
9 Wewe utawavunja wao kwa fimbo ya chuma; kama vile mtungi wa mfinyanzi, wewe utawavunja wao vipande vipande.”
Zaburi 2 in Biblia ya Kiswahili