Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Zaburi 25:18-20 in Swahili (individual language)

Help us?

Zaburi 25:18-20 in Biblia ya Kiswahili

18 Tazama mateso yangu na taabu yangu; unisamehe dhambi zangu zote.
19 Ona maadui zangu, kwa maana ni wengi; wananichukia kwa chuki ya kikatili.
20 Uyalinde maisha yangu na uniokoe; usiniache niaibishwe, Kwa kuwa kwako nakimbilia usalama!
Zaburi 25 in Biblia ya Kiswahili