Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Zaburi 22:22-23 in Swahili (individual language)

Help us?

Zaburi 22:22-23 in Biblia ya Kiswahili

22 Nami nitalitangaza jina lako kwa ndugu zangu; katikati ya kusanyiko la watu nitakusifu wewe.
23 Ninyi mnao mwogopa Yahwe, msifuni yeye! Ninyi nyote kizazi cha Yakobo, muheshimuni yeye! Simameni katika hofu yake, ninyi nyote kizazi cha Israeli!
Zaburi 22 in Biblia ya Kiswahili