Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Zaburi 22:1-2 in Swahili (individual language)

Help us?

Zaburi 22:1-2 in Biblia ya Kiswahili

1 Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha? Kwa nini uko mbali na wokovu wangu na mbali na maneno yangu yenye uchungu?
2 Mungu wangu, ninalia mchana kutwa, lakini haunijibu, na wakati wa usiku sinyamazi!
Zaburi 22 in Biblia ya Kiswahili