Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Zaburi 21:3-4 in Swahili (individual language)

Help us?

Zaburi 21:3-4 in Biblia ya Kiswahili

3 Kwa kuwa wewe unamletea baraka nyingi; wewe uliweka katika kichwa chake taji ya dhahabu iliyo safi kabisa.
4 Yeye alikuomba wewe maisha; ukampatia maisha; wewe ulimpatia maisha malefu milele na milele.
Zaburi 21 in Biblia ya Kiswahili