Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Zaburi 18:30-31 in Swahili (individual language)

Help us?

Zaburi 18:30-31 in Biblia ya Kiswahili

30 Kama kwa Mungu: njia yake ni kamilifu. Neno la Yahwe ni safi! Yeye ni ngao kwa yeyote anaye kimbilia katika yeye.
31 Kwa kuwa nani ni Mungu ispokuwa Yahwe? Nani ndiye mwamba ispokuwa Mungu wetu?
Zaburi 18 in Biblia ya Kiswahili