Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Zaburi 149:3-4 in Swahili (individual language)

Help us?

Zaburi 149:3-4 in Biblia ya Kiswahili

3 Nao walisifu jina lake kwa kucheza; na wamuimbie sifa yeye kwa ngoma na kinubi.
4 Kwa kuwa Yahwe hupata furaha katika watu wake; huwapa utukufu wanyeyekevu kwa wokovu.
Zaburi 149 in Biblia ya Kiswahili