Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Zaburi 148:8-10 in Swahili (individual language)

Help us?

Zaburi 148:8-10 in Biblia ya Kiswahili

8 moto na mvua ya mawe, theluji na mawingu, upepo wa dhoruba ukitimiza neno lake.
9 Msifuni yeye, enyi milima na vilima, miti ya matunda na mierezi yote,
10 wanyama pori na wanyama wafugwao, viumbe vitambaavyo na ndege.
Zaburi 148 in Biblia ya Kiswahili