Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Zaburi 145:6-8 in Swahili (individual language)

Help us?

Zaburi 145:6-8 in Biblia ya Kiswahili

6 Watanena juu ya nguvu ya kazi zako za kutisha, nami nitatangaza ukuu wako.
7 Nao watatangaza wingi wa wema wako, na wataimba kuhusu haki yako.
8 Yahwe ni wa neema na huruma, si mwepesi wa hasira na mwingi katika uaminifu wa agano lake.
Zaburi 145 in Biblia ya Kiswahili