Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Zaburi 143:10-11 in Swahili (individual language)

Help us?

Zaburi 143:10-11 in Biblia ya Kiswahili

10 Unifundishe kufanya mapenzi yako, maana wewe ni Mungu wangu. Roho wako mwema na aniongoze mimi katika nchi ya unyoofu.
11 Ee Yahwe, kwa ajili ya jina lako, unihifadhi hai; katika haki yako uitoe nafsi yangu taabuni.
Zaburi 143 in Biblia ya Kiswahili