Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Zaburi 141:7-9 in Swahili (individual language)

Help us?

Zaburi 141:7-9 in Biblia ya Kiswahili

7 Watalazimika kusema, “Kama vile jembe moja livunjapo ardhi, hivyo mifupa yetu imesambaratishwa kinywani pa kuzimu.”
8 Hakika macho yangu yanakutazama wewe, Yahwe, Bwana; katika wewe napata kimbilio; usiiache nafsi yangu.
9 Unilinde dhidi ya mitego waliyoiweka kwa ajili yangu, na matanzi yao watendao maovu.
Zaburi 141 in Biblia ya Kiswahili