Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Zaburi 140:6-8 in Swahili (individual language)

Help us?

Zaburi 140:6-8 in Biblia ya Kiswahili

6 Nilimwambia Yahwe, “Wewe ni Mungu wangu; usikie kilio changu unihurumie.”
7 Ee Yahwe, Bwana wangu, wewe ni mwenye nguvu uwezaye kuniokoa; hunifunika ngao kichwa changu siku ya vita.
8 Ee Yahwe, usiyatimize matakwa ya waovu; usiruhusu njama zao kufanikiwa. Selah
Zaburi 140 in Biblia ya Kiswahili