Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Zaburi 136:8-9 in Swahili (individual language)

Help us?

Zaburi 136:8-9 in Biblia ya Kiswahili

8 Mshukuruni yeye alipaye jua kutawala mchana, kwa maana uaminifu wa agano lake wadumu milele.
9 Mwezi na nyota vitawale usiku, kwa maana uaminifu wa agano lake wadumu milele.
Zaburi 136 in Biblia ya Kiswahili