Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Zaburi 136:11-13 in Swahili (individual language)

Help us?

Zaburi 136:11-13 in Biblia ya Kiswahili

11 Akawatoa Waisraeli kati yao, kwa maana uaminifu wa agano lake wadumu milele.
12 Kwa mkono hodari na mkono ulio nyooshwa, kwa maana uaminifu wa agano lake wadumu milele.
13 Mshukuruni yeye aliyeigawa Bahari ya Shamu, kwa maana uaminifu wa agano lake wadumu milele.
Zaburi 136 in Biblia ya Kiswahili