Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Zaburi 122:3-5 in Swahili (individual language)

Help us?

Zaburi 122:3-5 in Biblia ya Kiswahili

3 Ee Yerusalemu, uliojengwa kama mji uliopangiliwa kwa umakini!
4 Makabila huenda juu Yerusalemu, makabila ya Yahwe; kama ushuhuda wa Israeli, kulishukuru jina la Yahwe.
5 Huko viliwekwa viti vya hukumu, viti vya enzi vya nyumba ya Daudi.
Zaburi 122 in Biblia ya Kiswahili