Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Zaburi 119:93-95 in Swahili (individual language)

Help us?

Zaburi 119:93-95 in Biblia ya Kiswahili

93 Sitayasahau kamwe maagizo yako, maana kupitia hayo umeniweka hai.
94 Mimi ni wako, kwa maana ninayatafuta maagizo yao.
95 Waovu hujiandaa kuniangamiza, lakini nitatafuta kuzielewa amri za agano lako.
Zaburi 119 in Biblia ya Kiswahili